FOREVER BEE POLLEN
Inatokana na pollen za kwenye maua,miti,mimea ambayo nyuki huzikusanya Kama chakula na hujulikana Kama masega ya nyuki.Ina virutubisho zaidi ya 99 ikiwemo vitamini A, B1, B3, B5, B6, B8, B12, C ,D,E, na K) madini enzymes carbohydrate protein na amino acids,Kama ilivyo asali hii pia ni chakula kamili na amino acids22,na madini ya zinki na B6 pia Ina lecithin- Fat tissue ambayo inahitajika katika ubongo na chembe za Damu.
FAIDA ZA BEE POLLEN
1.Inaondoa aleji mwilini na uchovu.
2 .Inasaidia mmeng'enyo wa chakula na kuupa mwili nguvu.
3.Inathibiti kuzeeka kwa genital na mfumo wa mkojo.
4.Inaondoa maumivu ya hedhi kwa (Wana wake)na msongo wa mawazo.
5.Ina chochea uzalishaji wa mbegu za kiume.
6.Inazuia ukuaji wa bakteria na Kusaidia mwili kuweza kutoa uchafu na sumu kirahisi.
Kumbuka:
Hii siyo dawa Bali Ni kirutubisho kwaajili ya Kinga Yako ya mwili.
FOREVER BEE PROPOLIS
Ni antibiotic ya asili inayotengenezwa na nyuki baada ya kuchukua unato utokao kwenye miti(sticky resin) na kuumeng'enya ,PROPOLIS ni maarufu zaidi ya miaka 5000 kwa kuua wadudu(Germs) watu wa syria wanaitumia Kama Kinga dhidi ya vidonda ( ulcers) vimbe (Tumors) , Pia hutumika Kama Kinga au kuondoa athari za majipu na malenge lenge(Abscences)
Bidhaa hi ni asili kwa100% na Ina virutubisho vingi Kama madini, Enzymes,Amino acids 22,na vitamin B complex,
Pia Ina kampaundi Nyingi zinazosaidia
Kuongeza Kinga mwilini na kuzuia maambukizi mengine.
Kuua bakteria Fangasi na virusi mbalimbali.
Inazuia vimbe mwilini na kuua vimelea.
Inasaidia Athari za majipu na malenge lenge.
Ni nzuri Sana katika kulinda sikio dhidi ya maradhi mbalimbali.
Inasaidia Sana kwenye tatizo la pumu,mafua,Kifua,vidonda vya Koo ,nk
Kumbuka
Bidhaa hii ni lishe na siyo dawa.
FOREVER NATURE MIN
Nature min Ni bidhaa iliyo na madini mengi yaliyopatikana chini ya bahari Kama vile calcium, phosphorus, magnesium,Iron,Zink, copper,Iodine, Selenium na venadium.
4% Ya mwili wa mwanadamu ni madini, Mwili hautengenezi madini hivyo inatupasa kula vyakula vyenye madini ili mwili uweze kufanya kazi vizuri.
Nature min Ina madini muhimu ambayo husaidia:
Kuimalisha meno na mifupa,misuli na mfumo wa uzazi.
Utengenezaji wa chembe chembe hai za Damu.
Kuthibiti Ute unaosaidia kutengeneza Genes za Homoni.
Kuongeza kiasi Cha Damu mwilini.
Ni muhimu Sana Kwani Inasaidia ufyonzaji wa virutubisho, kurekebisha tishu na mfumo wa fahamu.
Inafanya kazi na enzymes na protini kuumwa mwili nguvu.
Kumbuka:
Bidhaa hii Ni Lishe na siyo dawa.
FOREVER ABSORBENT C
Absorbent c Ina vitamini C na oat bran iliyoongezwa ili kupunguza kasi ya vitamini C kuumeng'enywa.
Absorbent C Ni Antioxidants yenye nguvu,Wavutaji wa sigara wanahitajika kutumia hi BIDHAA Kwani anahitaji vitamini C kwa kuwa sigara moja inatosheleza 25mg za vitamini C.
Vitamini C haikai na haitengenezwi na miili yetu hivyo inatupasa kila siku Kupata vyakula vyenye vitamini C .
FAIDA YA VITAMINI C
Kukinga mwili na sumu za free radical.
Hufanya connective tissue zifanye kazi vizuri.
Ni nzuri kwa ngozi kwani inaongeza Intercellular collagen.
Huongeza Kinga ya mwili .
Husaidia vidonda ngozi,viuongo na kuondoa mafuta mabaya mwilini.
Inasaidia Sana katika mifumo ya hewa.
Inasaidia kuzuia kutokea na Damu kwenye fizi.
Kumbuka:
Bidhaa hii ni lishe na siyo dawa.
FOREVER MULTI-MACA
Imetokana na mmea uitwao maca au lepidium meynii kutoka nchini peru wenye historia ya miaka zaidi ya 2000 kuongeza stamina ya mwilini.Ina faida kubwa kwa wanawake na wanaume,Ina protini Nyingi katika mfumo wa amino acids na virutubisho muhimu vinavyosaidia kazi ya kuamsha ishara za hamu ya tendo la ndoa.
FAIDA YA FOREVER MULTI- MACA
Inaongeza hamu ya mapenzi kwa wakike na kiume kwa zaidi ya 100%( Aphrodisiac activity)
Inaongeza stamina na nguvu za kiume.
Inasaidia kuondoa madhara ya kukomaa kwa Hedhi (Menopouse) Kama Homoni na kuhisi joto Kali( Hot Flashes)
Inarutubisha mayai.
Inaongeza idadi ya mbegu za kiume kwa 200%(High sperm count).
Inaongeza uwezo wa mbegu za kiume kuogelea vizuri(Sperm mobility)
Inakadiria kiwango Cha chuma kwenye Damu.
Ina promote matumizi Ya glucose kwenye Damu badala ya glucose kuwa mafuta( Ambayo yana hasara Nyingi)
Kumbuka:
Bidhaa hii Ni lishe na siyo Dawa.
FOREVER LYCIUM PLUS
Imetokana na matunda ya lyceum na liquorice ambayo yaligundulika bala la Asia kwamba huboresha Kinga ya mwili.china hujulikana Kama 'Yintonic'.Ina amino acids na vitamini, liquorice iliyotumiwa Ina viini lishe zaidi ya 150 yenye manufaa mwilini,Huwezesha vitamini C ambayo Ni Antioxidants kuingia na kutumika ipasavyo.
FAIDA ZA FOREVER LYCIUM PLUS
Hupunguza kasi ya uzee( Mikunjo), Kuongeza nguvu, kuondoa maumivu ya mgongo na viungo.
Ina boresha uwezo wa macho kuona vizuri,Rangi muonekano wa ngozi.
Ina lisha ini na Figo.
Huondoa Athari ya mionzi na kwa wale wanaopewa matibabu ya madawa makali .
Liquorice yake Inasaidia kuondoa vimbe ,vidonda vya tumbo na kikohozi.
Huondoa sumu za free radical,Huimarisha kapirali za Damu,
Husaidia mzunguko wa Damu na kupunguza Athari ya Damu kuganda( Blood clotting)
Inasafisha sumu zaidi ya Mara 60-100 ya vitamini E na C.
FOREVER GALIC THYME.
Ni vitunguu saumu,Ina Allicin,ajoene, Sulphur, Germanium, Allicin Ina harufu yenye sifa ya kuua bacteria kwenye mishipa ya Damu,na kudhuru mapafu,kibofu, na ngozi.Ajoene Ni anti- clotting agent inazuia Damu kuganda, lecithin inasafisha mishipa kwa kuondoa mafuta yaliyoganda( cholesterol) . Sulphur huua fangasi na bacteria hivyo huzuia mafua na candida albicans.Germanium Ina rekebisha mfumo wa hewa , kuondoa maumivu, Mmeng'enyo wa chakula pia Ni Antioxidants.
FAIDA ZA GALIC THYME
Inasaidia Matatizo ya asthma, Arthritis,canser, Insomnia,na Magonjwa ya ini .
Inasaidia Matatizo ya kiwango Cha sukari,macho na neva.
Huondoa madhara yatokanayo na mionzi ya picha za matibabu( chemotherapy,
Radiotherapy na utrasoun.
Husaidia Matatizo ya moyo,KICHWA kuuma,chunusi na udhoofu wa mwili, kuondoa ukuaji wa bacteria, Mionzi na kuua minyoo.
Kuacha wazi mishipa ya Damu.
Kumbuka :
Hii Ni lishe wala siyo dawa.
FOREVER VISION.
Bidhaa hii Ina biberry,Lutein, zeaxanthin na antioxidants na virutubisho vingine.
FAIDA ZA FOREVER VISION.
Biliberry Inasaidia kufanya jicho lione vizuri na Kusaidia mzunguko wa Damu kwenye jicho.
Lutein Ni carotenoid ya mboga mboga na matunda na kulinda bretina ya jicho.
Zeaxanthin na astaxanthin Ni carotenoids zinazosaidia ufanyaji kazi wa misuli ya macho.
Husaidia macho kuona vizuri.
Kumbuka:
Hii bidhaa ni lishe na siyo Dawa.
FOREVER B12 PLUS.
Hii ni bidhaa yenye vitamini B12-500mg kwa kila tembe au kidonge,Ina FOLIC ACIDS 400mcg kwa kila tembe,Ina RDA B12-1mg kila tembe na RDA-FOLIC ACID-200mg.
FAIDA ZA KUTUMIA FOREVER B12 PLUS.
1.Husaidia kutunza chembe chembe hai za Damu na Kusaidia Damu iweze Kusafirisha oxygen.
Huua sumu ya tumbaku na kufanya mfumo wa fahamu kufanya kazi vizuri.
Kuongeza nguvu,Afya ya ubongo kufanya kazi vizuri.
Kuongeza hamu ya kula.
Ni muhimu Sana kwa ukuaji wa mtoto aliyopo tumboni mwa mama.
Kusaidia enzymes inayogawanya seli za DNA( Helicase na ligase)
Kumbuka:
Hii bidhaa Ni lishe na siyo Dawa.
FOREVER ARG+
Ni bidhaa yenye vitamini Nyingi zinazosaidia kuongeza stamina na nguvu,L-argunine Ni amino acids muhimu kwa afya kiujumla,Miili yetu huibadilisha kuwa nitric oxides ambayo husaidia mishipa ya Damu kutanuka na kuruhusu Damu kupita.Pia Argi + Ina viondoa sumu Kama pomegranate,Ina gram 5 L- arginine kwa kila kijiko kimoja.
FAIDA ZA KUTUMIA FOREVER ARG+
Ni kirutubisho muhimu Sana kwa matumizi ya kila siku ili Kusaidia mifumo ya mwili ili kuupa mwili uwezo wa kuifanya kazi vizuri Zaidi.
Inasaidia katika mfumo wa Kinga ya mwili,chembe nyeupe za Damu huitumia nitric oxides kuua bacteria.
Inasadia kurekebisha kiwango Cha msukumo wa Damu hivyo na kujenga afya njema ya mwili.
Nitric oxides hiyo huongeza mzunguko na hivyo Inasaidia kuongeza stamina wakati wa tendo la ndoa.
Inasaidia misuli kuwa imara na yenye nguvu na kupunguza mafuta ndani ya mwili ndio maana inafaa kwa wanamichezo wa kike na kiume.
Ina pomegranate binayoo ondoa madhara ya FREE RADICAS yaani sumu.
Ina vimelea vya REDWINE inayosaidia kushusha kiwango Cha CHOLESTEROL Mwilini.
Inaongeza uwezo wa mwili bkutumia insulin ( Insulin sensitivity) hivyo inafaa kwa kuweka uwiano wa sumu mwilini.
Inasaidia kutoa Homoni zinazopunguza kasi ya KUZEEKA, kukufanya uonekane chini ya Umri wako.
Kumbuka:
Hii bidhaa Ni lishe na siyo Dawa.
FOREVER CALCIUM.
Calcium Ni madini muhimu kwaajili ya kuimalisha mifupa na meno,100%Ya kiasi Cha calcium itakiwayo kwa siku katika mwili Ina 100mg ya calcium,na 400mg za vitamini D na 400mg za magnesium-Nyongeza ya bidhaa hizo mbili za mwisho Ni muhimu itumike wakati was kula ili iweze kuingia mwilini.Damu ikikosa calcium huziamuru Homoni ( Parathyroid) Kuchukua katika meno na mifupa ya kusababisha kuwa dhaifu na rahisi kuvunjika( osteoporosis). Mwili ukipata calcium vizuri Inasaidia mambo mengi.
FAIDA ZA KUTUMIA FOREVER CALCIUM.
Kuimalisha mifupa , Meno,moyo na misuli,
Husaidia Damu kuganda ( ukijeruhiwa) Kwani bila hivyo Damu itatoka Nyingi.
Husaidia Homoni kufanya kazi vizuri .
Husaidia mwili kuunguza mafuta na kupunguza unene.
Kumbuka:
Hii ni lishe na siyo Dawa.
NEW FOREVER KIDS .
Ni multi-vitamin iliyoongezwa madalanzi na manukio ya machungwa, Matunda na mboga za majani Kama karoti,spinachi,kabeji,Epo,Nyanya.Ina phytonutrient(Uwezo wa kupambana na Magonjwa kwa Virutubisho)Ina radha nzuri haina landha bandia na haijaongezwa sukari,
FAIDA ZA KUTUMIA FOREVER KIDS.
Kuongeza Kinga ya mwili kila itumikapo.
Inasaidia kuboresha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.
Inasaidia kulinda mwili na maradhi ya kansa na Magonjwa ya moyo.
Inaongeza hamu ya kula na kuleta afya njema kwa mtoto na hata kwa mtu mzima pia.
Kumbuka:
Hii bidhaa Ni lishe na siyo Dawa.
FOREVER GINKGO PLUS.
Hii inatokana na majani ya ginkgo biloba( chakula Cha fikra) yenye favonoid.
Ina mchanganyiko wa mimea mitatu muhimu yaani reishi mushroom,schisandra berries na cured FOTI.
FAIDA ZA KUTUMIA FOREVER GINKGO PLUS.
Inaimalisha mishipa ya Damu na kuzuia isitanuke ,na kuzuia vimbe.
Kuongeza kumbukumbu na utulivu( mood & concentration)
Kupunguza Athari za STROKE na madhara ya pumu.
Inasaidia kuzalisha tishu za Ini zinazoharibiwa na Kama zitakanazo na pombe.
Inaondoa uchovu na kupunguza kasi ya uzee.
Kumbuka:
Hii Ni lishe na siyo Dawa.
FOREVER A- BETA -CARE.
Hii ni bidhaa yenye vitamini A( Beta-cerotene) na E na madini ya selenium ambayo Ni antioxidants ( Uwezo wa kupambana na free radical)
Vitamini hii hutolewa kwa mfumo wa Beta carotene na kumeng'enywa katika utumbo mdogo na kutoa vitamini A Pindi inapohitajika hivyo huzuia Athari ya kuzidi kwake mwilini kwani ikizidi Ni SUMU( TOXINS).
FAIDA ZA KUTUMIA FOREVER A- BETA- CARE.
Kuondoa Mikunjo na kuzeeka kwa ngozi,Athari za menopouse Kama vile hot flashes.
Kuongeza mbegu za kiume na kuzuia kansa ya Tezi la kibofu Cha mkojo
( prostate cancer )
Kuboresha kazi za moyo na ngozi.
Inawasaidia wenye Matatizo ya macho.
Inaondoa sumu mwilini na kuzuia Free Radicals.
Inawasaidia wenye sickle seli anaemia ( kupungukiwa na chembe chembe nyekundu za Damu).
Kumbuka:
Hii bidhaa Ni lishe na siyo Dawa.
VITOLIZE FOR MEN.
Hii ni bidhaa yenye vitamini C,D,E,B6 na madini Kama zinc na selenium.
Pia Ina saw palmetto, pomegranate,olive oil, lycopene oil,Pygeum seed na pumpkin seed.
FAIDA ZA KUTUMIA FOREVER VITOLIZE FOR MEN.
Inaweka sawa kiwango Cha Homoni ya kiume ( testosterone).
Inaongeza Uwezo wa mbegu za kiume kuwa na uwezo wa kurutubisha mayai.
Inaongeza uwingi wa mbegu za kiume .
Libido na Kusaidia kudhibibiti kansa ya prostate.
Kumbuka:
Hii ni lishe na siyo Dawa.
VITOLIZE FOR WOMEN.
Ni bidhaa yenye kushambulia Matatizo ya wanawake hasa wenye Umri zaidi ya miaka 40,Kama mfumo wa mkojo,kuumwa miguu,nyonga,na viungo, Homoni na menopouse.
Ina mchanganyiko wa matunda na miti shamba Kama pasheni ,schisandra berry, Magnesium , vitamin C,B,iron na calcium.
FAIDA YA KUTUMIA FOREVER VITOLIZE FOR WOMEN.
Inatumika kuweka sawa kiwango Cha Homoni za kike na Kusaidia afya ya mwanamke kiujumla.
Kusafisha mfumo wa mkojo na kubalanzi Homoni husika.
Inaongeza Homoni na kuondoa msongo wa mawazo.
Inasaidia kuondoa Athari ya madawa ya uzazi wa mpango.
Iron na calcium huboresha meno na mifupa.
Kumbuka:
Hii bidhaa Ni lishe na siyo Dawa.
Commentaires