top of page
Writer's pictureAfya Kwanza Tanzania

BORESHA AFYA YAKO KWA KUTUMIA VIRUTUBISHO MUHIMU.

FOREVER POMESTEENE POWER .


Hii bidhaa Ina Antioxidants kwa wingi na ubora wa hali ya juu.kina xanthenes kwa wingi hivyo ORAC( Oxygen radical absorbance capacity) Iko juu Sana na huzuia mwili usiathiriwe na sumu za free radical zinazoleta madhara ya kansa.Ina mchanganyiko wa vitokanavyo na matunda ikijumuisha pomegranate hi Ina polyphenol antioxidants Nyingi kuliko REDWINE , Green tea,Granberry,au orange juice, pia Ina vitamini A,C na E kwa wingi vilevile Ina iron,Peas, Mangosteen ( Garcinia Mangastana L) Grape seeds



FAIDA ZA KUTUMIA FOREVER POMESTEENE POWER.


1.Huboresha mzunguko wa Damu kwenye macha na kuona vizuri.


2.Inazuia Matatizo ya macho catalyct.


3.Kuzuia Athari za Mionzi ya Jua na mingine .


4.Kuondoa Free Radicals ambazo zingeweza kuleta kansa mbalimbali.


ROYAL JELLY.


Ni chakula kizuri anacholishwa malkia ili aweze kutaga mayai zaidi ya 3000 kwa kuishi maisha marefu zaidi ya miaka 6.


Ina vitamini A,C,D na E na huifadhi vitamin ,B- Complex pia Ina vitamini B5 ambayo Inasaidia kumeng'enywa protein ,wanga, mafuta na Homoni ambazo ikikosekana husababisha uchovu na vitu vingine.Ina Amino acids8 muhimu, Madini Ca,Cu,Fe,p,k,so,s.



FAIDA ZA KUTUMIA FOREVER ROYAL JELLY.


1.Kuua bakteria na virusi na husaidia uponyaji wa vidonda.


2.Husaidia uzalishaji wa seli mpya (cell regeneration) .na kuboresha muonekano wa ngozi.


3.Hurekebisha utendaji wa Homoni.


4.Kupunguza kasi ya uzee hasa Mikunjo (Wrinkles) na kukuza nywele.


5.Kuzuia msongo wa mawazo na maumivu wakati wa hedhi.


6.Kuongeza nguvu mwilini na kuondoa uchovu.


GIN-CHIA FOREVER.


Bidhaa hii imetokana na miti shamba miwili(Ginseng na chia) maarufu Sana tangu Karne za nyuma kwa watu wa amerika ikitumika kwa stamina na kuwezesha muendelezo wa maisha.Ina saponins iliyoifanya kuitwa King of tonics" Ikimaanisha mfalme wa ustamilivu,Chia Ina fibers,fatty acids, antioxidants na protein.



FAIDA ZA KUTUMIA FOREVER GIN-CHIA.


1.Inauwezo mkubwa wa kuondoa sumu mwilini.


2.Inaongeza stamina na ustamilivu (kuendelea kufanya yanayochosha au yanayohitaji nguvu bila uvivu.


3.Inarahisha mzunguko wa Damu kuwa rahisi Sana.


4.Kukupa afya ya mwili na kujisikia una nguvu na kujiamini.

59 views0 comments

Recent Posts

See All

Comments


Post: Blog2_Post
bottom of page