FOREVER FIELDS OF GREENS.
Hii Ni bidhaa inayotokana na mboga za majani ambazo Mara Nyingi miili yetu inazikosa kwa kiwango kinachotakiwa Lakini pia hua wengi tunakosea kuzipika kiasi kwamba tunazipika kwa MDA mrefu na kuunguza viini lishe.
Bidhaa hii inatokana na majani ya shairi na ngano change,Alfaalfa na cayenne,pia Ina Beta-cerotene, enzymes na amino acids pamoja na vitamins.
FAIDA ZA KUTUMIA FOREVER FIELDS OF GREENS.
1.kuongeza Damu mwilini na Kusaidia macho kuona, kuondoa Athari za mionzi.
2.Kuboresha mzunguko wa Damu na kudhibibiti kiasi Cha sukari mwilini.
3.Cayenne pepper Inasaidia kuboresha mzunguko wa Damu na mmeng'enyo wa chakula.
4.Chromium picolinate Ina balansi matumizi ya insulin hivyo kudhibibiti kiasi Cha sukari kwenye Damu.
5.Alfaalfa Ina madini yanayosababisha kutuliza morning sickness kwa wajawazito.
FOREVER NEW ARTICSEA .
Bidhaa hii imetokana na mafuta ya samaki aitwae salmon fish apatikanae katika kina kirefu Cha bahari ya ARTIC inayotoa Omega 3 (750mg) na mafuta ya mizaituni inayotoa Omega 9(250mg) kila kidonge kina vijiko 30 vya chai vya mafuta ya samaki.
FAIDA ZA KUTUMIA FOREVER NEW ARTICSEA .
1.Husaidia katika ukuaji wa ubongo na mfumo wa fahamu.
2.Kuondoa Matatizo ya Homoni
3.Hulinda afya ya ngozi na tatizo la misuli kukosa nguvu.
4.Huongeza nguvu na Kinga ya mwili.
5.Ina zuia kukua kwa vimbe ,na macho kutoumbika vizuri.
6.Uwezo wa kutunza kumbukumbu vizuri.
7.Husaidia wenye Matatizo ya stroke.
8.Husaidia kupambana na kansa ya matiti na prostate (Tezi dume).
Comentários