top of page
Writer's pictureAfya Kwanza Tanzania

DHIBITI UZITO AU KITAMBI NDANI YA SIKU 9 KWA KUTUMIA KIRUTUBISHO CHA C9 PROGRAM.

Updated: Jun 27, 2020

C9 Ni program ya siku Tisa(9) Ina mkusanyiko wa bidhaa tano (5) za siku Tisa ambazo zinasaidia Sana kusafisha mwili kwa kutoa sumu mwilini na kuanza kupunguza uzito au kitambi kuanzia kilo 3 Hadi 9 , Inategemea na jinsi utakavyokuwa makini kuzingatia muongozo utakao pewa kwani wengine wanapungua zaidi ya kilo 8. Katika hatua hii bidhaa zake zitakufanya kuwa na muonekano mzuri na afya njema na kujisikia mwepesi kabisa na mabadiliko ya mwili yanaanzia hapo.


Ndani ya hii pakeji ya C9 Kuna bidhaa Kama.

1.Alovera gel 2

2.Garcinia pakti 1

3.Lite ultra shake mix vanilla au chocolate.

4.Forever Fiber pakti 9

5.Forever therm 1

Pia ndani ya Hii pakeji Kuna

1.Jagi moja kwaajili ya kuchanganya vanilla na Alovera gel


2.Tepu 1 ya vipimo ,Hii itatumika kupima sehemu mbalimbali za mwili kabla na baada ya kumaliza hi program.

Mfano wa sehemu za kupima .

(a) Kiuno


(b) Tumbo

(c) Sehemu za mikono.

(d) sehemu za mapaja.

Faida ya kila bidhaa ndani ya hii pakeji ya C9.

1.Alovera gel

Hii itakusaidia

( a)kusafisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.

(b)Kuondosha sumu mwilini.

2.Forever Garcinia plus

(a) Inafanya kazi ya kuunguza mafuta mabaya mwilini.

(b) Kusaidia katika kuweka mapigo ya moyo kwenda sawa.

3.Lite utra vanilla

(a) Kusaidia kuimalisha misuli wakati upo kwenye hatua ya kupunguza uzito.

(b)Kuupa mwili nguvu kipindi chote Cha hii hatua ya kupunguza uzito kwani itakufanya usichoke ovyo bali uwe na nguvu zaidi.

4.Forever fiber hii itakusaidia.

(a) Mzunguko wa damu kwenda sawa.

(b) Itakusaidia upate choo Cha kawaida na siyo kuharisha.

(c) Itakusaidia kuondoa hamu ya kula ovyo ovyo wakati wa hatua ya kupunguza uzito,Na kujisikia umeshiba na una nguvu.


5.Forever therm Hii Itakusaidia.

(a) Kukupa joto la mwili.

(b) Kupunguza hali ya kuchoka ovyo wakati upo kwenye hii hatua ya kupunguza uzito au kitambi.


MATUMIZI YA C9 YAMEGAWANYIKA SEHEMU MBILI.


Sehemu ya kwanza ni SIKU YA 1 NA YA 2 ambapo matumizi yanafanana.

Halafu sehemu ya pili ni SIKU YA 3 HADI YA 9 ambapo pia namna ya kutumia inafanana kwa siku ya 3 hadi ya 9. Ila inakuwa tofauti na day 1 na 2.


TUANGALIE SASA MATUMIZI YA C9 KWA SIKU YA 1 NA YA 2


TUKIO

MUDA


BREAKFAST

12:00 Asb

Kunywa(nashauri tafuna) Garcinia 2(Subiri dakika 20)


12:20Asb

Kunywa Aloevera gel(120mls)

Kunywa Forever Therm(kidonge kimoja)

(Na angalau glass moja ya maji)


12:30-7:00Asb

Fanya mazoezi mepesi kwa angalau Dakika 30(Tembea,Endesha Baiskeli,Ogelea,Kimbia)


SNACK

3:00 Asb

Kula paketi moja ya Forever Fibre(Changanya na glass moja ya Maji)


LUNCH

6:30-7:00 Mchana

Kunywa Garcinia vidonge 2

Subiri dakika 20

Kunywa Aloevera gel(120mlsl) na maji angalau glass moja.

Kunywa Forever Therm(kidonge kimoja)

Kunywa Forever Lite Ultra Kijiko kimoja changanya na maji ya moto 300mls


DINNER

12:30-7:00 Jioni

Kunywa Garcinia vidonge 2


Subiri dakika 20

Kunywa Aloevera gel(120mls) na maji angalau glass moja


Kula Vyakula vyepesi,Mfano

Matango,Apples,(kama utasikia njaa)


USIKU

2:30-3:00 Usiku

Kunywa Aloevera gel(120mls) na maji angalau glass moja


NOTE:

Kunywa maji mengi Uwezavyo ni muhimu sana katika hatua hii ya Kutengeneza mwili wako

Mara nyingi sana siku hizi mbili mtu husikia njaa sana.


Tunamshauri nini?

Kama utasikia njaa mda wowote wakati wowote basi usisahau Kula haya matunda na mboga hizi kama.

Mboga hazipikwi Bali zioshe tu kwa maji ya Moto kabla hujala.


MATUNDA

1.Ma Apples 🍎 🍏

2.Grapes 🍇

3.Kiwi 🥝

4.Machungwa 🍊

5.Peaches 🍑

6.Pears 🍐

7.Tunda damu

8.Strawberries 🍓

Raspberries


MBOGAMBOGA.

1.Brocolli

2.Cauliflower

3.celery

4.Tango

5.Leekes

6.Lettuce

7.Pilipili hoho

8.Maharage ya soya

9.Maharage mabichi

10.Spinachi

11.Nyanya

52 views0 comments

Recent Posts

See All

Comments


Post: Blog2_Post
bottom of page