bidha hii inatokana na Gel la katikati la jani la Aloe Vera, Bidhaa hii imetengenezwa kwa umahiri mkubwa na mfumo wenye hati miliki uitwao "stabilized process" ni bidhaa ya kwanza kupewa mhuri na international Aloe Science Council inavirutubisho zaidi ya 75kampaundi zaidi ya 200 kama vitamini 12 ikiwemo B12, Madini 20, Amino Acids 18 na Enzymes.
Tumia nusu glass (60ml) nusu saa kabla na baada ya kula, tikisa (shake) wakati wa kunywa, weka kwenye jokofu ikishafungua
FOREVER FREEDOM
Ni kinywaji chenye aloe vera, glucosamine sulphate, chondroitin sulphate MSM (Methylsulphony methane) ascorbic acid (kole jeupe linalotenganisha mifupa)
sulphur yetu ni organic sulphul na Vitamin C inatokana na ladha halisi ya chungwa
FAIDA ZAKE
=Husaidia mifupa isichakae
=huweka majimaji kati ya mifupa (synovial fluid) ili kulainisha viungo na mifupa isisuguane.
=kuondoa maumivu na uvimbe katika viungo.
=kuondoa maumivi ya viungo hasa uti wa mgongo.
BITS N'PEACHES
hii ina Aloe Vera 90% ni matunda ya peaches yaliyuo tengenezwa ili kuongeza vitamini A ambayo ni Antioxidant hivyo huondoa sumu za free radicals husaidia kuboresha kazi za macho kuona vizuri mchana na usiku na kuongeza ladha zaidi na hivvyo inafaa kwa watoto kupata hamu ya kula, kinga ya mwili na hivyo kuwaepusha na maradhi mbalimbali.
FAIDA ZAKE
=Kuondoa sumu mwilini na kupunguza aleji mwilini
=kusafisha na kusaidia mmeng'enyo wa chakula
= kuondoa vimbe mwilini na vidonda hata vya tumbo
=kuongeza nguvu mwilini.
=husaidia kwa wenye presure, arthritis,kisukali, sicle cell na mengine mengi
Comentarios